mwili wa pesa
New Member
- Jul 31, 2021
- 4
- 4
Wafanyakazi hawa wa TAZARA hawajali kabisa wateja, wanawatukana na kuwafukuza kama watoto.
Jana nimeenda TAZARA kwa ajili ya 'booking' ya mzigo, nimefika pale ofisi za mzigo TAZARA Mlimba-Morogoro hakukuwa na mtu. Nikaanza kuita "Mwenyewe...mwenyewe" zaidi ya mara mbili, ikaitika sauti unataka "Nini", nikaakaaa kimya.
Huduma kwa wateja sifuri, nikasema jitokeze nieleze basi, akanijibu "Emu toka hapo wewe". Dah hiii imeuma sana hadi namkumbuka mwenda zake.