DOKEZO Wafanyakazi wa TAZARA Mlimba na Chita wanajiona miungu watu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

mwili wa pesa

New Member
Joined
Jul 31, 2021
Posts
4
Reaction score
4
Wafanyakazi hawa wa TAZARA hawajali kabisa wateja, wanawatukana na kuwafukuza kama watoto.

Jana nimeenda TAZARA kwa ajili ya 'booking' ya mzigo, nimefika pale ofisi za mzigo TAZARA Mlimba-Morogoro hakukuwa na mtu. Nikaanza kuita "Mwenyewe...mwenyewe" zaidi ya mara mbili, ikaitika sauti unataka "Nini", nikaakaaa kimya.

Huduma kwa wateja sifuri, nikasema jitokeze nieleze basi, akanijibu "Emu toka hapo wewe". Dah hiii imeuma sana hadi namkumbuka mwenda zake.
 
Kama hukukuta mtu, umefukizwa na kutukanwa na nani?
 
Sio hapo tu customer care kwa Tanzania ni Zero , nchi kama Rwanda wao walianzisha kabisa mafunzo ya cutomercare kwenye hospitality, na wako vizuri bongo mazoea mengi na kutojali ni tatizo linalotutafuna sana
 
Sawa inategemea na muonekano na sauti ya mamlaka,mi nikikupiga mwara lazima upige magoti kuniomba msamaha,muonekano wangu umetisha wengi sana
Anhaaa nakubali muonekano unaweza kunitoa out maana kuna watu akisema huangalii mara mbili.
 
Mfuate
 
Maisha magumu ndugu.
Wafanyakazi wanaolipwa vizuri ndio wenye ucheshi na upendo kwa mteja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…