Labda waongezewe mara 2Pia wanachuo waongezewe boom zao maana gharama za maisha zimepanda
AhahahahaaaPia wanachuo waongezewe boom zao maana gharama za maisha zimepanda
Mlaume baba yako kutokukusomesha waache waliosoma na kutembea kwenye umande wale raha siyo lazima serikali imridhishe kila mtu hususani wewe mbumbumbuWapendwa, hongereni kwa kazi.
Najaribu kufikiri kwa kina, kisha naishia kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Najiuliza;
Fedha au mali za umma ni kwa ajili ya Watanzania wote bila kujali tofauti yoyote. Je, Wafanyakazi wa umma kuongezewa mishahara kwa fedha za umma na Watanzania wengi zaidi ya 59,500,000 kubaki katika Dimbwi la umaskini bila kufaidi keki ya Taifa, hiyo si kugawa watu wa Taifa moja katika matabaka kadhaa?
Lakini pia najiuliza; ni kigezo gani kinachotumika kupanga kiwango cha mishahara ya Wafanyakazi wa umma?
Ahsante.
Jitahidi uwe mfanyakazi wa serikalini pia kama na wewe unaona unataka uzifaidi directly. Ukienda kupiga ramli chonganishi unaweza kuzifaidi.Wapendwa, hongereni kwa kazi.
Najaribu kufikiri kwa kina, kisha naishia kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Najiuliza;
Fedha au mali za umma ni kwa ajili ya Watanzania wote bila kujali tofauti yoyote. Je, Wafanyakazi wa umma kuongezewa mishahara kwa fedha za umma na Watanzania wengi zaidi ya 59,500,000 kubaki katika Dimbwi la umaskini bila kufaidi keki ya Taifa, hiyo si kugawa watu wa Taifa moja katika matabaka kadhaa?
Lakini pia najiuliza; ni kigezo gani kinachotumika kupanga kiwango cha mishahara ya Wafanyakazi wa umma?
Ahsante.
Wewe umeshajengewa madarasa kwa hela za mkopo kutoka IMF! Kilichobakia kwako ni kuendelea tu kufyatua.Wapendwa, hongereni kwa kazi.