Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara mkia wa mbuzi

Wafanyakazi wa Umma waongezewa mshahara mkia wa mbuzi

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Husika na kichwa habari hapo juu kama kinavyojieleza.
20220723_072638.jpg
 
JF hakuna anayepokea kima cha chini, maana wote wanalalamika.
 
Anaupiga mwingi!!!!.
Hii ndiyo ilikuwa kauli yenu, leo mnamlilia japo kwa aina nyingine ya kulia pasi kutoa machozi.

Tulieni hivyo hivyo ndo safari yenyewe na kila mtu na usafari wake.
 
Hapo ukiweka na tozo mpya zilizowekwa kwenye miamala za benki utajikuta hakuna nyongeza yote yote Ile.
 
Aibu nilopata ni kubwa sana. Ahadi niliyopewa ilivunjwa hata bila kosa.
Ulinipa ahadi utaniongezea 23% nikitumaini nimepata
Nilichopata ni matusi ooh ooh na dharau tele

Ungenieleza ukweli sir 100
Kuliko kunidanganya ooh ooh
Najuta kukopa kwa mangi
 
 
Back
Top Bottom