Aibu nilopata ni kubwa sana. Ahadi niliyopewa ilivunjwa hata bila kosa.
Ulinipa ahadi utaniongezea 23% nikitumaini nimepata
Nilichopata ni matusi ooh ooh na dharau tele
Ungenieleza ukweli sir 100
Kuliko kunidanganya ooh ooh
Najuta kukopa kwa mangi
Wasalamu wana Jf, Katika hizi siku mbili kumekua na mixed feelings kuhusu ongezeko la mshahara lililosubiriwa kwa takribani miezi mi-tatu. Wapo wanaona ongezeko hilo ni dogo na ni mockery kwa "watumishi wa umma", pia wapo wanaodhani hao watumishi hawastahili, si tu ongezeko, bali hata hiyo...