Wafanyakazi wakorofi chanzo kikubwa cha kupunguza wateja kwenye baadhi ya Makampuni na kwingineko

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Ndugu waajiri ni muhimu sana kuwa makini na hawa watu kwenye Biashara zenu.

Msiwaamini kupitiliza wanawafukuzia wateja muhimu.

Ukiwepo mwenyewe wanakua wapole, ukiondoka wanafanya wanavojua wao.

Hawa ni moja ya vitu vinavyosababisha malalamiko katika huduma unayotoa. Fuatilia.
 
Katika vitu vigumu kuvipata kwa sasa, ni kijana/vijana waaminifu wa kuwaachia ofisi/biashara yako.

Juzi kuna sehemu nilienda nilikua nahitaji bidhaa fulani. Attitude niliyowakuta nayo wale vijana ilinipa huzuni sana nikasema laiti mwenye mali angekuepo akaona na kusikia kauli zao, angeangua machozi.

Hawakujali, na niliondoka bila mzigo wakati mzigo upo.
 
Hali ndivyo ilivyo maeneo Mengi na ma Boss hawajui 😊kinachofuata ni kufunga biashara.
 
Back
Top Bottom