Katika vitu vigumu kuvipata kwa sasa, ni kijana/vijana waaminifu wa kuwaachia ofisi/biashara yako.
Juzi kuna sehemu nilienda nilikua nahitaji bidhaa fulani. Attitude niliyowakuta nayo wale vijana ilinipa huzuni sana nikasema laiti mwenye mali angekuepo akaona na kusikia kauli zao, angeangua machozi.
Hawakujali, na niliondoka bila mzigo wakati mzigo upo.