Wafanyakazi waliopo chini ya Hospitali za dini (FBO) wanaolipwa mishahara na serikali

Wafanyakazi waliopo chini ya Hospitali za dini (FBO) wanaolipwa mishahara na serikali

Dat4

Member
Joined
Aug 24, 2022
Posts
96
Reaction score
148
Wafanyakazi wanaofanya kazi chini ya hospitali za kidini, yaani muajiri wao ni FBO lakini wana check namba na wanalipwa mshahara na serikali,

Je Inawezekana mfanyakazi huyu kuhama kuhamia kituo cha serikali 100%

Vipi kuhusu Haki zao zingine za kiutumishi kama vile kujiendeleza kielimu?

Naomba kuuliza
 
FBO huwa inaajiri wafanyakazi wake na anawalipa yeye lakin anaweza kuingia ubia na DED akaletewa na wafanyakazi wa serikali lakin FBO anaweza kuwalipa posho kidogo
 
FBO huwa inaajiri wafanyakazi wake na anawalipa yeye lakin anaweza kuingia ubia na DED akaletewa na wafanyakazi wa serikali lakin FBO anaweza kuwalipa posho kidogo
Ameajiriwa na FBO lakini mshahara wake unalipwa moja kwa moja na serikali na ana check namba na pia taarifa zake za kiutumishi zipo kwa afisa utumishi wa Wilaya
 
Back
Top Bottom