Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa

Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa

Black Legend

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
174
Reaction score
301
Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi:

1. Kodi kubwa mno za mishahara.

2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu).

3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka.

4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka.

5. Kunyimwa haki ya kujiendeleza na kutotambulika kwa elimu zao.

6. Kufanya kazi katika mazingira magumu.

7. Nk.
 
Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi;
1. Kodi kubwa mno za mishahara...
Usipoteze muda wako kujaribu kumtetea mtanzania, wanavyo vyama vyao na wanalipa ada ya uanachama lakini wanaogopa kuvitumia eti wakijulikana watafukuzwa kazi! Kutokana na hilo ndiyo sababu tunaambiwa hata ikibidi tule nyasi tutanunua ndege, wanatuona sisi ni mbuzi wao kwani tunaswagika vizuri tu, kama unaona unaonewa kwa tozo hamia Burundi, ili wabaki wao na nchi yao.
 
Inaumiza saaana kuona mtumishi wa nchi hii ananyanyasika, anazalisha lakini wakubwa wachache wananeemeka wao na watu wao.
 
Mtumishi mwenyewe anapenda kunyanyasika, ukitaka kumtetea anakukana eti unataka afukuzwe kazi! Mwache.
 
Uongo mbaya

Hakuna Rais ambaye amepandisha madaraja watu wengi kwa muda mfupi kama Samia, pamoja na kulipa malimbikizo.

Naelewa ulivyosema ila inategemea unafanya kazi wapi?

Sehemu nyingine ma boss&hr wenu ndio tatizo(wanawabania)
 
Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi:

1. Kodi kubwa mno za mishahara.

2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu).

3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka.

4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka.

5. Kunyimwa haki ya kujiendeleza na kutotambulika kwa elimu zao.

6. Kufanya kazi katika mazingira magumu.

7. Nk.
Tabaka la wafanyakazi lipo dhoofu kabisa wewe mwenyewe hapo ukiambiwa kesho utoe mchango wa mwenge usipotoa kazi huna.... utaenda hata kukopa ukalipe. unataka nani akutetee kama siyo wewe mwenyewe?
 
Uongo mbaya

Hakuna Rais ambaye amepandisha madaraja watu wengi kwa muda mfupi kama Samia, pamoja na kulipa malimbikizo.

Naelewa ulivyosema ila inategemea unafanya kazi wapi?

Sehemu nyingine ma boss&hr wenu ndio tatizo(wanawabania)
Wizara ya Utumishi pale pana shida.....
 
Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi:

1. Kodi kubwa mno za mishahara.

2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu).

3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka.

4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka.

5. Kunyimwa haki ya kujiendeleza na kutotambulika kwa elimu zao.

6. Kufanya kazi katika mazingira magumu.

7. Nk.
Mbona hujasema haya👇
Kulazimishwa kuchangia Mwenge
Kulazimishwa kukesha kwenye mwenge
Kukosa privacy sehemu ya kuchukulia kinga wakati wa mkesha wa Mwenge
 
Nani kazuiliwa kujiendeleza kitaaluma?

Kwa hili nitakuwa wa mwisho kuamini.
 
Back
Top Bottom