Black Legend
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 174
- 301
Usipoteze muda wako kujaribu kumtetea mtanzania, wanavyo vyama vyao na wanalipa ada ya uanachama lakini wanaogopa kuvitumia eti wakijulikana watafukuzwa kazi! Kutokana na hilo ndiyo sababu tunaambiwa hata ikibidi tule nyasi tutanunua ndege, wanatuona sisi ni mbuzi wao kwani tunaswagika vizuri tu, kama unaona unaonewa kwa tozo hamia Burundi, ili wabaki wao na nchi yao.Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi;
1. Kodi kubwa mno za mishahara...
Inaumiza saaana kuona mtumishi wa nchi hii ananyanyasika, anazalisha lakini wakubwa wachache wananeemeka wao na watu wao.Usipoteze muda wako kujaribu kumtetea mtanzania, wanavyo vyama vyao na wanalipa ada ya uanachama lakini wanaogopa kuvitumia eti wakijulikana watafukuzwa kazi! Kutokana na hilo ndiyo sababu tunaambiwa hata ikibidi tule nyasi tutanunua ndege, wanatuona sisi ni mbuzi wao kwani tunaswagika vizuri tu, kama unaona unaonewa kwa tozo hamia Burundi, ili wabaki wao na nchi yao.
Mtumishi mwenyewe anapenda kunyanyasika, ukitaka kumtetea anakukana eti unataka afukuzwe kazi! Mwache.Inaumiza saaana kuona mtumishi wa nchi hii ananyanyasika, anazalisha lakini wakubwa wachache wananeemeka wao na watu wao.
Hujui lolote kaa kimya nayo ni busaraMbona hayo yote yamefanyiwa kazi? Tuaache kudeka tuchape kazi
Tabaka la wafanyakazi lipo dhoofu kabisa wewe mwenyewe hapo ukiambiwa kesho utoe mchango wa mwenge usipotoa kazi huna.... utaenda hata kukopa ukalipe. unataka nani akutetee kama siyo wewe mwenyewe?Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi:
1. Kodi kubwa mno za mishahara.
2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu).
3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka.
4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka.
5. Kunyimwa haki ya kujiendeleza na kutotambulika kwa elimu zao.
6. Kufanya kazi katika mazingira magumu.
7. Nk.
Wizara ya Utumishi pale pana shida.....Uongo mbaya
Hakuna Rais ambaye amepandisha madaraja watu wengi kwa muda mfupi kama Samia, pamoja na kulipa malimbikizo.
Naelewa ulivyosema ila inategemea unafanya kazi wapi?
Sehemu nyingine ma boss&hr wenu ndio tatizo(wanawabania)
Mbona hujasema haya👇Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi:
1. Kodi kubwa mno za mishahara.
2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu).
3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka.
4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka.
5. Kunyimwa haki ya kujiendeleza na kutotambulika kwa elimu zao.
6. Kufanya kazi katika mazingira magumu.
7. Nk.