Wafanyakazi & wanafunzi udom wadhalilishwa vibaya na uongozi kwa shinikizo la CCM


kwanini wasifanye registration kwa kila college ili kurahisha zoezi?.
Ndan ya college wanatenga kwe departments, itasaidia zaidi.
 
jamani munaniumiza mtima mnapokiponda chuo cha udom kiasi hcho,hebu jaribuni kuyadisplay na mazur yake bas au ndo kina mabaya tu?!
 
Mbona mimi sioni walipodhalilishwa?
 
we ndo mjinga,miundo mbinu ya kuwa accomodate ipo ya kutosha...inaonekana hujawahi kufika udom chuo cha magamba tupu
 
Kwahiyo nisiende kusoma udom au,ni shauri jamani
 
dah!kumbe?kwan vitabu vnavo2mika udsm,sua,iaa,mzumbe na ifm vko tofaut na vnavo2mika udom??

vitendea kazi vnaweza kuwa sawa,tatizo ni jinsi ya kuvitumia! Kwani sua,udsm,mzumbe n.k si kuna maprof.kama Kikula?? Mbona hawana maamuzi ya kudhalilisha taaluma zao kama yeye! Sito kubali mwanangu awe mwanasiasa kamwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…