Wafanyakazi watatu wa Marketing wanahitajika

Janik3232

New Member
Joined
May 13, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Mr. Discount Hardware ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa Tiles kwa bei ya jumla na rejareja, ofisi ipo Madale kisauke

Tunahitaji wafanyakazi watatu wa marketing katika kampuni yetu. Wa kiume 2 na wa kike 1

Vigezo
Awe na miaka kuanzia 23-27
Awe anajua mambo ya marketing
Elimu kuanzia form 4 mpaka chuo
Aliyemaliza kidato cha sita na chuo ni added advantage.

Kwa mawasiliano piga simu
0621057152
Email: chotapatrick1@gmail.com
 
Mshahara kias Gani mkuu au kamisheni besidi
 
Kila la heri kwa vijana watakaofanikiwa kupata hiyo ajira.
 
Tumeni maombi vijana mnataka muwekewe kiwango cha mshahara ili muanze kukopa dukani kwa mangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…