Wafanyakazi Zaidi ya 100 kufukuzwa kazi BOT

BOT wafanyakazi ni wengi kuliko kazi,ukweli ni kwamba pale wanahitajika wafanyakazi wasiozidi 500 tu wengine tunawakaribisha mtaani tayari kwa mpambano wa kusaka shilingi.
 
BOT wafanyakazi ni wengi kuliko kazi,ukweli ni kwamba pale wanahitajika wafanyakazi wasiozidi 500 tu wengine tunawakaribisha mtaani tayari kwa mpambano wa kusaka shilingi.
Wengine wote walipwe haki zao watimue...hv humu jamvini hatunao kweli..?!
 
Mwaka huuu mambo yatkuwa magumu sana kwa wafanyakazi wa serikali
 
mi nahisi wengine mlizoea vya kunyonga na ajira za kishkaji wacha fagio lipite


am just passing by dont hate me hate the game life is agame tena ngoja waaadabishwe wengine hela iliwafanya mungu watu hawakuthamini wakwao kisa hela za BOT, UNAKUTA mtu apatment yake anaishi na paka tu hana ndugu kweli au hata watoto yatima wa kusaidia .

majina hewa kibao fedha mnatia wametiakapuni watzee tuache vya kunyonga.
 
Sidhani Kama umeeleweka!! Hilo wote tunalijua baada ya ile edited video. I thought unakua navupande ule ulioeditiwa kwenye ile video.
 
Jamani, wa 1391 ni nani?

Mwiiigua nchembua au bi shosti aka bi dada Vic kamatianeni hahahaha...
Nmb 150 branch employee 2000,BOT 5 branch employee 1391 maajabu yanaendelea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…