Wafaransa ni wachawi sana Argentina achukue tahadhari zote kuelekea fainali ya kombe la dunia 18.12.2022

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Ufaransa walifaidika na uchawi fainali ya 98
Waliloga sana, waliloga uwanjani na wakaenda kwenye hotel ya wachezaji wa Brazil
Wachezaji wa Brazil asubuhi wengi walishindwa kuamka kwenda kupasha misuli kutokana na kujikisia homa na kuumwa

Hadi muda wa mechi wasiwasi ulikuwa mkubwa
Ile mechi wabrazil walikuwa hawakabi,hawakimbii ni kama walifungwa mawe miguuni walikuwa ni kama watazamaji na wao

Mpaka leo sijawahi kuamini kama Timu mbovu ile ya ufaransa ilimfunga Brazil ile

Pia mwamuzi wa mechi iyo aliwabeba sana wafaransa yule mwarabu,

mchezaji wa ufaransa akifanya faulo alikuwa hajiangaishi kupuliza kipenga

Deshamps ndio mchawi namba moja uyo kocha alifanya akiwa captain na sasa ufaransa wamempa timu aendeleze ufundi

Nawasihi argentina wamfiche Messi ndani asitoke la sivyo jumapili watajuta

Kwahiyo argentina wajiangalie watapigwa juju
Wakimuwahai messi tu wakampiga juju basi ufaransa amemaliza kazi
 

Tuliza mahaba yko kwa Mess
Wafaransa zic tym ndo baadhi ya wachezaji wanaumwa na homa
 
Waagentina wauaji sana na ni wabaguzi wa hali ya juu mno.

Waliwaua sana ndugu zetu weusi kipindi hicho.

Waliua mwafrika yeyote waliyemkuta ndani ya Argentina.

Hawakutaka kuchanganya damu na sisi na ndio maana nchi yao ndio nchi pekee bara la America ya kusini isiyo na machotara,ni majnun firaun sana.

Wabondwe kama ngoma vile Inshallah
 
Ufaransa wachawi mkuu hasa jimbo la marseille ni balaa kwa uchawi

Ile mechi ni kama wabrazil mpira walikuwa hawauoni muda mwingi wamesimamama
Delima alikuwa anatapika Kama kaungwa bando.... Mpira una mengi Sana [emoji38]
 
Kwahiyo walishindwa kuwaroga Italia 2006 pale Ujerumani wakachezea kwenye fainali na Zinedine Zidane hadi akalimwa kadi nyekundu kwa kumtandika kichwa Materazzi
 
Kwa magoli walio kuwa wanakosa Morocco narazimika kukuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…