Wafaransa wana kunguni, chawa, wasiingie nchini hadi wapite josho airpoert zertu.

Hawa kunguni waliopo ni wafaransa waliwaleta?
 
View attachment 2775772
Ni wasi wafaransa sasa wamethibitika kuwa wachafu ,hawaogi na wana kunguni na chawa.
Serikali ijenge josho, mithili ya josho la ng'ombe.
Wote wanaoingia nchini wapitie humo.
Serikali itanishukuru baadaye!
Kunguni sio uchafu mkuu,huingia hata kwenye nyumba zilizo na usafi wa hali ya juu.Kunguni huzaliana kwa haraka mno,kuna mabasi hapa kwetu yanaenda Kigoma nk kuna abiria waliyagomea kisa kunguni!ukipata kunguni mmoja akaingia kwenye begi,suruali/gauni ukampeleka home baada ya wiki unapata kunguni maelfu mpaka ujue ni muda mgongo utakuwa umechakaa balaa!
 
Ndo uchafu senyewe mkuu!
 
Huyo mwamba videoni keshakuwa national park ya kunguni Sasa...🤣
 
Ndo uchafu senyewe mkuu!
Hapana mkuu,chawa sawa ni uchafu hawa usiombe waingie nyumbani au ndugu yako yoyote ajea nao kwako utaniambia!Kuwamaliza ni mtihani,maana wanabana ukutani,kwenye corner za vitanda nk.ombea wasikupata mkuu.Nipo kanda ya kati hapa ingawa sio mwenyeji wa hapa.yalinikuta hadi niliukumbuka wimbo wa marehemu Makeba.kunguni siwezi kulala mama,nitaua!Kunguni siwezi kulala mama ,nitaua!Nitaua kwa kweli nitaua!
 
Kunguni sio uchafu mkuu,huingia hata kwenye nyumba zilizo na usafi wa hali ya juu.Kunguni huzaliana kwa haraka mno,kuna mabasi hapa kwetu yanaenda Kigoma nk kuna abiria waliyagomea kisa kunguni!ukipata kunguni mmoja akaingia kwenye begi,suruali/gauni ukampeleka home baada ya wiki unapata kunguni maelfu mpaka ujue ni muda mgongo utakuwa umechakaa balaa!
Sasa kama huyo mmoja akiwa dume atazaliana vipi?! Sema labda waingie watatu na kuendelea......hapo kuna probability ya kupata wakike na wakiume.
 
Back
Top Bottom