Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kunguni sio uchafu mkuu,huingia hata kwenye nyumba zilizo na usafi wa hali ya juu.Kunguni huzaliana kwa haraka mno,kuna mabasi hapa kwetu yanaenda Kigoma nk kuna abiria waliyagomea kisa kunguni!ukipata kunguni mmoja akaingia kwenye begi,suruali/gauni ukampeleka home baada ya wiki unapata kunguni maelfu mpaka ujue ni muda mgongo utakuwa umechakaa balaa!View attachment 2775772
Ni wasi wafaransa sasa wamethibitika kuwa wachafu ,hawaogi na wana kunguni na chawa.
Serikali ijenge josho, mithili ya josho la ng'ombe.
Wote wanaoingia nchini wapitie humo.
Serikali itanishukuru baadaye!
Ndo uchafu senyewe mkuu!Kunguni sio uchafu mkuu,huingia hata kwenye nyumba zilizo na usafi wa hali ya juu.Kunguni huzaliana kwa haraka mno,kuna mabasi hapa kwetu yanaenda Kigoma nk kuna abiria waliyagomea kisa kunguni!ukipata kunguni mmoja akaingia kwenye begi,suruali/gauni ukampeleka home baada ya wiki unapata kunguni maelfu mpaka ujue ni muda mgongo utakuwa umechakaa balaa!
Hapana mkuu,chawa sawa ni uchafu hawa usiombe waingie nyumbani au ndugu yako yoyote ajea nao kwako utaniambia!Kuwamaliza ni mtihani,maana wanabana ukutani,kwenye corner za vitanda nk.ombea wasikupata mkuu.Nipo kanda ya kati hapa ingawa sio mwenyeji wa hapa.yalinikuta hadi niliukumbuka wimbo wa marehemu Makeba.kunguni siwezi kulala mama,nitaua!Kunguni siwezi kulala mama ,nitaua!Nitaua kwa kweli nitaua!Ndo uchafu senyewe mkuu!
Kwa nini unaangalia huo uchafu?Kunguni wananuka sana hata ukiangalia video zao tu,zinanuka.Hiyo video mpaka nywele zimenisimama
Sasa Ufaransa kunguni na chawa ndio kwao.Kwa nini unaangalia huo uchafu?Kunguni wananuka sana hata ukiangalia video zao tu,zinanuka.
Kanda ya kati huku wapo kibao!Ukiona godoro nje sio kwamba mtoto kakojoa mkojo ni kunguni!Kwa nini unaangalia huo uchafu?Kunguni wananuka sana hata ukiangalia video zao tu,zinanuka.
Sasa kama huyo mmoja akiwa dume atazaliana vipi?! Sema labda waingie watatu na kuendelea......hapo kuna probability ya kupata wakike na wakiume.Kunguni sio uchafu mkuu,huingia hata kwenye nyumba zilizo na usafi wa hali ya juu.Kunguni huzaliana kwa haraka mno,kuna mabasi hapa kwetu yanaenda Kigoma nk kuna abiria waliyagomea kisa kunguni!ukipata kunguni mmoja akaingia kwenye begi,suruali/gauni ukampeleka home baada ya wiki unapata kunguni maelfu mpaka ujue ni muda mgongo utakuwa umechakaa balaa!
NakaziaChawa ni laana, kuwa watu wanajiita chawa
Kunguni ni noma mkuu!πππSasa kama huyo mmoja akiwa dume atazaliana vipi?! Sema labda waingie watatu na kuendelea......hapo kuna probability ya kupata wakike na wakiume.
Tulishindwa covid sijui kama hili litawezekanaView attachment 2775772
Ni wasi wafaransa sasa wamethibitika kuwa wachafu ,hawaogi na wana kunguni na chawa.
Serikali ijenge josho, mithili ya josho la ng'ombe.
Wote wanaoingia nchini wapitie humo.
Serikali itanishukuru baadaye!