Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hawa jamaa wa alshabaab ambao humpigania na kumlinda "mungu" na uislamu wamejilipua mabomu na kuua tisa akiwemo mwanafunzi kule Somalia....

Nine people were killed and 47 wounded Sunday in an attack on a hotel in Kismayo, southern Somalia, claimed by the Al-Shabaab Islamist group, the region's security minister said.

The port city is the latest to be hit following a recent resurgence of attacks by the Al-Qaeda-linked group, which has mainly targeted the capital Mogadishu and central Somalia.

Sunday's assault began at 12:45 pm (0945 GMT) when a booby-trapped car rammed the entrance of Hotel Tawakal. It ended around 7:00 pm after the attackers were killed by security forces.

Among the casualties were students leaving a nearby school, Jubaland security minister Yusuf Hussein Osman told reporters. All four attackers, including the suicide bomber, were killed, he added.

"The first one detonated himself and the (remaining) three were killed by the security forces", he said, confirming an early police statement.

"This is not a government target," police officer Abdullahi Ismail said. "It is just an ordinary, civilian-frequented hotel."

MSN
 
Ndiyo maana nasema Mungu does not exist, hawezi kuwa yupo akaumba watu/vitu kama hivyo...... hawezi kuumba/kuleta dini kama hiyo! Therefore hizi dini ni inventions za watu.
Kwa UNYOFU wa Mungu unaosemwa, hawezi umba vitu kama hivyo
 
mhh huyo mungu anaetaka kutetewa na wanadamu kuua wenzao dah mungu huyo komesha sio mchezo
 
Ndiyo maana nasema Mungu does not exist, hawezi kuwa yupo akaumba watu/vitu kama hivyo...... hawezi kuumba/kuleta dini kama hiyo! Therefore hizi dini ni inventions za watu.
Kwa UNYOFU wa Mungu unaosemwa, hawezi umba vitu kama hivyo
Hapana Retired, Mungu yupo ila kwenye binadamu kuanzisha hizi dini pamoja na madhehebu shetani 😈 alihusika kwa kiasi kikubwa sana sana kwa sababu jiulize swali dogo tu, kama tukishakubaliana kwamba Mungu yupo sasa ya nini tena tuunde dini na madhehebu????

Wale watu walioshi enzi hizo kabla ya ujio wa hizi dini na madhehebu walimuabudu Mungu vizuri sana na haya malumbano ya kijinga tunayoona leo hayakuwepo kabisa, kwani leo tunaona jinsi watu wa leo wanavyo thamini dini na madhehebu yao hata kuliko Mungu mwenyewe. Bure kabisa.
 
Ebhana eeh hii mijamaa ni noma sana imerishwa pumba za kijinga inajilipua
 
Hapana Retired, Mungu yupo ila kwenye binadamu kuanzisha hizi dini pamoja na madhehebu shetani 😈 alihusika kwa kiasi kikubwa sana sana kwa sababu jiulize swali dogo tu, kama tukishakubaliana kwamba Mungu yupo sasa ya nini tena tuunde dini na madhehebu????

Wale watu walioshi enzi hizo kabla ya ujio wa hizi dini na madhehebu walimuabudu Mungu vizuri sana na haya malumbano ya kijinga tunayoona leo hayakuwepo kabisa, kwani leo tunaona jinsi watu wa leo wanavyo thamini dini na madhehebu yao hata kuliko Mungu mwenyewe. Bure kabisa.
Noted! Human inventions
 
Back
Top Bottom