Wafikishieni barua hii Diamond Platnumz, Alikiba, Mange Kimambi na Ommy dimpozi

Mi nangoja umalize kuwachambua wote halafu ndio nitaleta mchango wangu mujarab
 
Ngoja nikae vizuri kwanza.. nikipata muda baadae nipite kusoma.. nimeanza ila ndefuuuuuuuuu

Hao wanaofata waongeze hapo kwenye post yako #1.. nikirudi nisome kwa uondo.
Hivi ID kama hii yako ya taasisi huwa kuna haja kweli ya kusoma kilichoandikwa au unatazama heading tu afu unacoment kulingana na maagizo kutoka juu?
 
Hivi ID kama hii yako ya taasisi huwa kuna haja kweli ya kusoma kilichoandikwa au unatazama heading tu afu unacoment kulingana na maagizo kutoka juu?

Ha ha ha haaaaa
Ya taasisi gani uliyoniweka wewe!?
Hiki ni moja ya kituko jamani.. mimi ni Cocochanel mdau wa humu kujiburudisha.. hayo umeandika siyajui.
 
Ukitoa ushauri kwa Ali Kiba kujirekebisha Uzi wako lazima ufutwe.
 
"Wapendwa sbb ya peesa mbongo mbongo eee
Wachukiwa sbb ya peesa mpunga mpunga eee
Marafiki maadui watkkimbia ikikata pesaa eee"

Tuwekee sebene ya zilipendwa
Ya Lokasa ya Mbongo eeeh
Pesaa!
Pesaa!
Is the source of all evils eeeh!
 
una akili finyu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh. ok.
 
Sawa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…