Wafu wanapogeuzwa chakula cha wanyama

Hii Ndiyo Duniani Na Haya Ni Maisha!
 
Nakubaliana na mshana, jamii yetu zamani mtu akifa anafungwa kwenye mti, utaliwa na wanyama, na ukoo unahama hilo eneo , kwenda mbali kabisa
 
Duh! Jamii hizo zinatambua uwepo wa swala la Dini kweli..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…