Niliskia Wasafwa wa mbeya ni noma. Mtu akifa kwa ajali ya moto, kufukiwa na kifusi, kupigwa nk maiti haiingizwi ndani ya nyumba wala haioshwi.Ni kweli kabisa hasa Wamasai na wabarabeigi wana hiyo mila
Watibet ni watu wa wapi?watibet wanaita sky burial. wanakupeleka mlimani na kukuacha uliwe na ndege.
ticha hao ni wa tibet, wananaishi kwenye milima ya himalaya, south west China. kwenye tibetian plateau, kiongozozi wao anaitwa dalai lama.Watibet ni watu wa wapi?
ecology haiko hivi. nilisoma kitabu kimoja wanasema hii ni egoism of specie, human specie wanajiona bora sana..Hiyo kweli ni kutegemeana kati ya viumbe hai na mazingira
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]hakuna haja ya kuzika tenaOna mshana matatizo ya aridhi milima ya meru uchagani n/s pare milima ya usambara ni shida tupu nahisi miaka michache ijayo makaburi yatakua yamejaa kipande hiyo so wat next
Nimekupata mkuu Red Giantecology haiko hivi. nilisoma kitabu kimoja wanasema hii ni egoism of specie, human specie wanajiona bora sana..
Mkuu galindas mfu huwa hana hisia yeyote. Milango ya fahamu yote huzima ndio maana mtu akiwa na maumivu makali sana huomba msaada wa kumpokonya uhai. Nchi nyingi za ughaibuni hakuna malalo hivyo maiti huchomwa moto, kutiwa kwenye tindikali H2SO4 98% na kuteketea. Hii husaidia kuhifadhi mazingira na kuyafanya yawekezwe kwenye uchumi wa kibiashara au makazi ya watu hai kuliko kuwa malalo (grave yards)mkuu ule moto wa gesi kwenye zile " nyumba za mazishi" ni hataree. bora nifukiwe tuu.
Oooh shukraniticha hao ni wa tibet, wananaishi kwenye milima ya himalaya, south west China. kwenye tibetian plateau, kiongozozi wao anaitwa dalai lama.
eva upogo?? nmekumisi walai,,btw watibet ni watu wa tibet ni province ambayo iko China hukoWatibet ni watu wa wapi?