Wafu wanapogeuzwa chakula cha wanyama

Kwa hiyo Mshana unataka kutuambia chochote kile mwanadamu anachofanya ni sahihi bora tu yeye binafsi aone ni sahihi?No way, those are Draconian and Luciferian principles which are wrong in the eyes of God. "Zipo njia zionekazo mbele za macho ya mwanadamu kuwa ni sahihi, lakini mbele ya macho ya Mungu ni uovu,"Mungu anasema.Na Mungu pia anasema "ole wao wao walao nyama za watu wangu kama mkate!"Kwa hiyo hao watu wanaofanya uovu huo wa kula wanadamu wenzao, hawatakuwa na cha kujitetea,they will have to face the wrath of God.Wanaochoma miili na kulisha miili ya wafu kwa wanyama pia wana hatia mbele za Mungu.Mwili wa mwanadamu una dhamani mbele za Mungu!Ni lazima uzikwe!
 
najua umetoa kwenye videos inaitwa "THE PLANET"
 
Sasa wakiliwa siku ya ufufuo watakuaje hawa watu.... Aisee borá sisi tunaohifadhiwa chin ya ardh tunakula kipupwe tukimsubir bwan wa majesh tuende nae nbingun
naww huko ardhini unakumbana na top consumers! kuliwa hakuepukiki.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huu uzi unajaribu kupenyeza a very evil subliminal message from the devil himself.Hapa tuko kwenye darasa la kufundishwa kula nyama za watu.We are being told that it is fine because other people are doing it. Is it. How evil.Mshana it's high time you engaged the reverse gear.Mungu anaona jinsi unavyopotosha watu wake, and frankly hatakuwa na huruma na wewe and you will reap the fruits of your evil work.
 
naww huko ardhini unakumbana na top consumers! kuliwa hakuepukiki.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jaman sasa tufanyeje oh my god baba ang kumbe tulipomzika anataabika[emoji24] natulimuaga apumnzike kwa aman... RIP MY HERO FATHER[emoji24]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Huyu jamaa cmuelewagi nimekuja bar kupunguza stress anaanza kunitisha tena mambo yake ya kula watu

Mpe anae kupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…