Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Twitter haya manyani wameyaanika na sare za CCM... Hilda Newton kamsome na picha za haya manyaniHakuna chedema wa hivyo ndugu acha kijivua nguo namna hii
Hata mtoto mchanga anajua[emoji23][emoji23]Ndugu zangu,
Siku zinaenda kasi sanaView attachment 1869265View attachment 1869267View attachment 1869266
Tunataka mpya ya tanzania kwanzaNdugu zangu,
Siku zinaenda kasi sanaView attachment 1869265View attachment 1869267View attachment 1869266
Acha upumbavuKwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania..
Imeishashindwa hiyo propaganda mfuKwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania..
Upumbavu upi sasaAcha upumbavu
Laiti mngejua kuwa duniani tunapita na hukumu ipo basi tungeweza kunyamaza Ila tuendelee kuikoleza hasira ya Mungu vizuri
Yupo karibu mlangoni yeye ndio anaijua kweli zaidi sisi viumbe wadogo mbele zake ni ngumu kuyajuaVijana wanadai katiba ya chama chao
Na pia wamemuombea msamaha mwenyekiti
Kwani kuna shida?