Pre GE2025 Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe vs Lisu
Wewe upo team gani?

Mimi ni muumini wa fikra mpya katika uongozi. Ni muumini wa 'kupokezana vijiti'.

Kwa miaka yote hiyo (20+ years) aliyoiongoza Chadema, mh Mbowe ameifanyia mengi Chadema. Sasa yatosha, apumzike, apishe fikra mpya na maono mapya.

Siyo lazima awe Lisu. Lakini, nadhani, Mbowe apumzike sasa.

-Kaveli-
 
Watu "wanavamia" ila wanakuta kuna hema kuubwa, viti, maji, soda, vitafunwa etc. Maigizo haya
 
Muda Siyo mrefu Tunaopenda Demokrasia na Haki tutakwenda kujua mbivu na mbichi, kama kweli CDM Wana nia ya dhati ya kutekeleza Demokrasia au ni wanafanya biashara na CCM.
Mbowe anafikiri kwamba ameshainvest resources nyingi kwenye chama (fedha, muda, mali kupotea, mateso ya kuwekwa ndanietc) na anahisi hajavuna vya kutosha kufidia gharama aliyoinvest. CHADEMA kwake ni kama Biashara inayopaswa "kurudisha Return on Investment"

Hii tabia ya kung'ang'ania madaraka ni gonjwa kubwa sana Africa, hasa pale ambapo incumbent anakuwa amefanya madudu mengi ambayo anajua yatamuanika zaidi pale ambapo ataondoka na mtu mwingine aingie madarakani
 
Kama ni biashara basi yeye abakie na kampuni yake mkuu
 
Lisu ana mihemko,
Bora abaki Mbowe .
Japo CCM wanamuogopa sana Lissu, sijui ni kwanini,!
Ngoja tuone.
 
Watu mna maneno😀
Kwahiyo mbowe anatafuta ROI kwa Chadema?
 
Watu "wanavamia" ila wanakuta kuna hema kuubwa, viti, maji, soda, vitafunwa etc. Maigizo haya
Ametoa ufafanuzi kwamba walimpa taarifa ya kupokea ugeni nyumbani kwake, ila hakujua ni ugeni unaohusu nini.
Hivyo, aliandaa matents na viti.
na ameongezea kwamba alifungiwa ndani na familia yake kama mwali.
 
Watu mna maneno😀
Kwahiyo mbowe anatafuta ROI kwa Chadema?
Sio yeye peke yake. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mbatia, Lipumba na Mrema. Ni mwendo wa kuvizia ROI tu. What else can you say if a man cling to power for 20 good years?

Ile RUZUKU inayotoka Serikalini is a big temptation na hii ndio chanzo cha tatizo na migogoro kwenye haya makundi ya vyama
 
Ametoa ufafanuzi kwamba walimpa taarifa ya kupokea ugeni nyumbani kwake, ila hakujua ni ugeni unaohusu nini.
Hivyo, aliandaa matents na viti.
na ameongezea kwamba alifungiwa ndani na familia yake kama mwali.
Na wewe unauamini huu ufafanuzi? Ugeni kwa viti vingi namna ile?
 
Lakini si alikuwa anagombea na wanachadema wanamchagua wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…