Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm?

Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR
YEHODAYA na Victoire hawaelewi wakuungemkono au wajitoe Jf
 
Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa ccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani?
Je Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm?

Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR
YEHODAYA na Victoire hawaelewi wakuungemkono au wajitoe Jf
Kumtetea Shetani si kazi rahisi
 
Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm?

Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR
YEHODAYA na Victoire hawaelewi wakuungemkono au wajitoe Jf
Naona mama alishaanza kampeni mapema huku wapinzani wakiwa ndani.
 
johnthebaptist mfuasi mwingine atakuja na hekaya za mzee Mgaya hivi punde.

Ashakujibu kule maana john ratiba zote za mzee mgaya anazo anasema jana alikua msibani na msigwa, john hua anaweza akaandika hapa mzee mgaya kasema hivi halafu baada ya wiki ndio unamuona mzee mgaya anahojiwa live yaleyale aliyosema john
 
Ukiona yanaanza maneno “Kada Maarufu wa chama cha mapinduzi “ ujue mbele kuna neno Mzee Mgaya na ujue ni thread ya John
 
Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm?

Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR
YEHODAYA na Victoire hawaelewi wakuungemkono au wajitoe Jf
Mnyukano uko mpaka juu kabisa.. Ukiona nyumba moshi umefuka mpaka nje tambua ndani kunateketea...
Refer speech ya 'vigazeti'
 
Kawadharau sana, mshahara wa dhambi ni mauti.

Uhuru wanavuna walichopanda.
Na vile vichumia tumbo vya mwendazake mama kavipiga stop. Hakuna tena cha mwanaharakati huru wala makalio ya Meko...

Chama kimerudi kwa wenyewe....

Nape anapiga jaramba...

Cc Crimea ikiuma chomoa
 
Back
Top Bottom