mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mkuu ila we unaamini?CCM hawataki kuamini kwamba Meko kafa
Kumtetea Shetani si kazi rahisiKama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa ccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani?
Je Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm?
Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR
YEHODAYA na Victoire hawaelewi wakuungemkono au wajitoe Jf
Naona mama alishaanza kampeni mapema huku wapinzani wakiwa ndani.Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm?
Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR
YEHODAYA na Victoire hawaelewi wakuungemkono au wajitoe Jf
Mzee Mgaya alikuwa na mchungaji Msigwa mazishini huko Iringa kwa Hans!johnthebaptist mfuasi mwingine atakuja na hekaya za mzee Mgaya hivi punde.
Kawadharau sana, mshahara wa dhambi ni mauti.CCM wanaambiwa kuwa Gazeti lao Pendwa ni kipeperushi/kigazeti hahhahhahaahaah
Mzee Mgaya alikuwa na mchungaji Msigwa mazishini huko Iringa kwa Hans!
johnthebaptist mfuasi mwingine atakuja na hekaya za mzee Mgaya hivi punde.
Nimecheka sana sana najua kuna wana CCM wanatamani kufaKawadharau sana, mshahara wa dhambi ni mauti.
Uhuru wanavuna walichopanda.
Mnyukano uko mpaka juu kabisa.. Ukiona nyumba moshi umefuka mpaka nje tambua ndani kunateketea...Kama umefuatilia kesi ya mbowe humu JF ,utaona wazi wafuasi nguli wa CCMccm humu jukwaani wameanza kunyukana wao kwa wao,Je hii inamaana gani? Je, Mnyukano huu huenda upo ndani hata ya NEC ya Ccm?
Hakika mwamba Aboubakar Isike Mbowe siku moja ya kesi umewanyoosha hawa akina USSR
YEHODAYA na Victoire hawaelewi wakuungemkono au wajitoe Jf
Kumbe ulikuwepo Jo mlangoni unasubiri ukaribisho[emoji38]Mzee Mgaya alikuwa na mchungaji Msigwa mazishini huko Iringa kwa Hans!
Na vile vichumia tumbo vya mwendazake mama kavipiga stop. Hakuna tena cha mwanaharakati huru wala makalio ya Meko...Kawadharau sana, mshahara wa dhambi ni mauti.
Uhuru wanavuna walichopanda.
Ata nisipoaminiMkuu ila we unaamini?
Hahahaaaa........!Kumbe ulikuwepo Jo mlangoni unasubiri ukaribisho[emoji38]