Wafuasi nguli wa CCM waanza kunyukana humu jukwaani kuna nini tena?

Hakuna wa kumteteresha mwenyekiti wetu ndani ya CHAMA...hayupo huyo....nakwambieje HUYO HAYUPO.......

ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA CHIFU MKUU HANGAYA,aaamin🙏

#SiempreCCM
#NchiKwanza
 
Wanatekeleza msemo wa kutumia Dola ili wabaki madarakani......labda na Mahakama nayo ni Dola yao kwahiyo hawana wasiwasi...Judge atapindua ushaidi uwe wa kweli.
 
CCM ni Muungano wa TANU na ASP Watanganyika wamelala usingizi mzito AfroShiraz Party imeshika hatamu pande zote.
 
CCM inakata roho huku ikirusha miguu huko kutapatapa ndio hiyo minyukano
 
Safari hii chama kinaendeshwa na mgeni rasmi, mpaka kufika 2025 makao makuu lazima yatahamia Zenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…