GE2025 Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CDM Ni dude kubwa..Hadi Mwenyekiti yupo ndani (Ili sa100 apite bila kupingwa_ hii Ni aibu y Karne, Na historia
No Reform No Election imekufa. Angalia mwana-CHADEMA anavyoandika- Yaani anamaanisha M/Kiti wa CDM -Lissu akiachiwa leo ataingia katika uchaguzi kushindana na RaisSamia.
Kumbe wanatuhadaa tu hawa CHADEMA. Uhalisia ni kuwa NO REFORM NO ELECTION haipo.
 
Wewe punguani nenda kwanza kajifundishe kuandika kila rudi hapa pumbavu.
 
Kumbuka kuwa Cahdema ni watu wanaojitambua kuliko wa CCM tena saaaaaana!
Wanajitambua vipi wameachana na Lissu. Hamna tena No reforms no election sasa hivi wamejikita Dodoma wapo kambi ya Polepole😀
 
Basi tulia kwanza, utajuwa GENGE ni nani ndani ya CCM chama kitakaPo jisafisha tena karibuni.
Ndiyo maana nakuita punguani unasema wewe siyo mwanachama wa chama chochote😀
 
gazeti reefu mwisho wa siku nchi inanuka rushwa,ufisadi,umasikini wa viwangu vya juu
 
Una Akili ndogo sana yaani ww ni bwege kweli, CHADEMA haipo hapo unapotaka ww, CHADEMA inamjua sana Polepole kabla hujazaliwa mwaka 2001, CHADEMA inamjua muasisi wa uvunjaji wa Sheria za uchaguzi ni Polepole,nasikitika kwamba hujui hilo,endelea kuota ndogo unaruhusiwa.
 
Kwa hiyo hamna tena No reforms no election mbona mnamsaliti Kamanda Lissu. Hamtaki kuingia barabarani kukinukisha? Mmeamua kuandamana humu humu JF?

Mmepanda basi la CCM hamjui linaelekea wapi 😃
Hatupigi kura sisi
 
Naona umetoka kuroga...

Punguza hangover ya kula kinyesi....

Relax, burudika na ngoma hii labda akili yako inaweza kuwa activated kukufanya uwaze na kufikiri vizuri kabla kumwaga pumba zako kupitia midomo yako michafu hiyo...


View: https://youtu.be/CEbVY0b3PD4?si=tjUqnP5HM4lEZb5w
 
Punguani lingine la Bavicha linatokwa na povi vipi utaingia barabarani kuzuia uchaguzi au hamna tena No reforms no election mmemsaliti Tundu Lissu, mpo dodoma😀
 
Punguani lingine hili la Ufipa alitaki tena No reforms no election😀
Pumbavu wewe na punguani wewe mwenyewe na ukoo wako wote...

Mimi niko zangu Shinyanga unaniambia habari za Ufipa na wafipa wa Sumbawanga/Rukwa ili ieweje..??

Umeburudika na hiyo ngoma lakini? Au hujalipwa B7 yako mwana Lumumba ili upate MB kwa ajili ya internet..??
 

Ungejikita zaidi Gaza huko ungekuwa umejitendea haki zaidi. Au nasema uongo? Ya CHADEMA siyo size yako.
 
Wewe Punguani kweli nani kakuuliza upo wapi? Wewe utakuwa Chadema-Kata hujui hata Ufipa ni wapi😀

Sasa umekasirika nini uchaguzi bado miezi miwili kaige familia yako uingie barabarani na bango la No reforms no election uone shughuli😀
 
Ungejukita zaidi Gaza huko ungekuwa umejitendea haki zaidi. Au nasema uongo? Ya CHADEMA siyo size yako.
Ungejukita ndiyo nini?

Vipi utaingia barabarani kuzuia uchaguzi.

Hamna tena No reforms no election😀
 
Makamanda tujitokeze kwa wingi tuingie barabarani tukinukishe tuzuishe uchaguzi tuziage kabisa familia zetu tunaweza tusirudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…