GE2025 Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Sijawahi kuelewa akili za nyumbu wa chadema wala majizi ya Ccm.
 
Wewe Punguani kweli nani kakuuliza upo wapi? Wewe utakuwa Chadema-Kata hujui hata Ufipa ni wapiπŸ˜€
HuyuπŸ‘‡πŸ» sio wewe uliyeandika hapa?

"...Punguani lingine hili la Ufipa alitaki tena No reforms no electionπŸ˜€"

Pumbavu na punguani wewe Ritz. Mimi sio wa ufipa. Niko hukohuko ulipo - CCM Lumumba...!!
Sasa umekasirika nini uchaguzi bado miezi miwili kaige familia yako uingie barabarani na bango la No reforms no election uone shughuliπŸ˜€
Sijakasirika..

Ndio maana nimekupa hiyo ngoma uburudike nayo

Hebu sikiliza na uburudike tena
 
Umeshatoka Iran na Gaza.. hakuna CDM na baadhi ya WanaCCM wataenda kupiga kura. Endelea na ushabiki wa GAZA huku sio pahala pako.
 
Narudia tena wewe ni Chadema-Kata hujui UFIPA ni wapiπŸ˜€
 
Umeshatoka Iran na Gaza.. hakuna CDM na baadhi ya WanaCCM wataenda kupiga kura. Endelea na ushabiki wa GAZA huku sio pahala pako.
Hawa vijana wa Ufipa hawaeleweki mambo ya Gaza yameingia vipi huku mada yetu vipi utaingia barabarani na bango No reforms no election kuzuia uchaguzi?
 
Ninyi ingieni kwenye uchaguzi sisi Chadema tuacheni kama tulivyo kwani wewe kinakuwasha nini !??

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Maria Sarungi mwenye laana ya kutoshiriki Ibada maalum ya kumzika Baba yake anafahamu anakowapeleka. Muhimu wamesaidia kuipunguzia CCM gharama za Uchaguzi.
 
Wamepagawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…