Ni waPi nimeshindwa kuthibitisha. Kila siku humu natoa mifano ya watu husika ndani ya GENGE hilo, na bado unakuja kunitaka nithibitishe? Samia humjui; Kikwete humjui; wakuu wa vitengo kadhaa, wateule wa Samia huwajui; maaskari, olisi wanaofanya kazi za GENGE huwajui?Sawa, for the sake of forgoing unnecessary arguments based on unsubstantiated accusations.
Maana umeshindwa thibitisha hilo genge lililoteka chama, hoja ambayo umeileta wewe.
Sasa tunaanza kuelewana; kwa sababu unatoka katika maficho ya kiulaghai kama afanyavyo Samia Suluhu na GENGE lenu wote.Wewe punguani nenda kwanza kajifundishe kuandika kila rudi hapa pumbavu.
Kwani wewe ndiye unayetaka kuniPangia chama, wewe ni nani?Ndiyo maana nakuita punguani unasema wewe siyo mwanachama wa chama chochote😀
GENGE lenu ukomo wake umefika sasa. Hamna tena pa kujificha. CCM wamezindukaMakamanda tujitokeze kwa wingi tuingie barabarani tukinukishe tuzuishe uchaguzi tuziage kabisa familia zetu tunaweza tusirudi.
Lakini umeelewa ujumbe uliotumiwa. Hilo ndilo la msingi.huiganii Ndiyo nini?
Post yako yenyewe ni ya dini. Hujawahi post chochote humu kisichohusiana na dini.Wewe ndiyo una chuki na Waislam.
Ukitaka mambo ya dini nenda jukwaa la dini.
Mimi huwa siyumbishwi na vicheko vya kipuuzi aina hiyo unayofanya hapa. Ni tabia hiyo hiyo ya kilaghai anayoitumia Samia Suluhu Hassan, huku akifanya maovu makubwa kwa nchi hii.Hahahahh Bavicha bana😂
Hahahha nani kakuambia anakuyumbisha kwanza hata sikufahamu takuyumbusha vipi nacheka tu vijana wa Ufipa wameweka kambi Dodoma😂Mimi huwa siyumbishwi na vicheko vya kipuuzi aina hiyo unayofanya hapa. Ni tabia hiyo hiyo ya kilaghai anayoitumia Samia Suluhu Hassan, huku akifanya maovu makubwa kwa nchi hii.
Unifahamu au usinifahamu, nitakupasha ukweli wako. Watu wa aina yako ndio maadui wakubwa sana wa taifa letu.Hahahha nani kakuambia anakuyumbisha kwanza hata sikufahamu takuyumbusha vipi nacheka tu vijana wa Ufipa wameweka kambi Dodoma😂
Hilo la "kuingia barabarani" huwa mna lilia sana nyinyi msiojali uhai wa waTanzania. Hili mnalihimiza sana ili mpate njia ya kutokea kwenye kibano kinacho endelea kuwabana mbavu.Sawa jiandae kuingia barabarani na bango kubwa limeandikwa No reforms no election uzue uchaguzi,
UFIPA tarehe ya uchaguzi ni 29.10.2025 mnazuia uchaguzi 🤣🤣Hilo la "kuingia barabarani" huwa mna lilia sana nyinyi msiojali uhai wa waTanzania. Hili mnalihimiza sana ili mpate njia ya kutokea kwenye kibano kinacho endelea kuwabana mbavu.
Fursa hiyo safari hii hampati, na hamtajua dhoruba limeibukia wapi kuwafagilia mbali, wapuuzi nyinyi.
Yes wahuni wameshinda kwa mdaSomo fupi kwa wasio ielewa CCM, hilo ni dubwasha kubwa sana.
CCM ina wanasiasa ambao wamekulia ndani ya chama na kutengenezwa kuwa viongozi mfano Mwigulu, Bashungwa, Biteko, Nape na ghasia wengine wa hovyo leo kama mawaziri.
CCM pia ina walinzi wake (wing ya usalama wa taifa) ambao sio lazima wote uwa wanasiasa ila wanalelewa kuhakikisha CCM inabaki madarakani na Ina wahudumia wananchi; mfano Rajabu Lhuwavi.
Asilimia kubwa ya mawaziri ni vijana waliopikwa na CCM kushika madaraka (ni wanasiasa tu) na kuna watu kama Polepole wanatokea angle zingine za chama za ulinzi hadi kuwa wanasiasa (wapo wengi ila rarely kuwa wanasiasa).
Ndio maana Polepole anaita CCM chama chetu (elewa nyuma yake kuna nguvu kubwa).
CCM sio ya mzaha-mzaha usidhani wahuni wanaweza kukichukua hiko chama kirahisi tu, halafu walinzi wake wawaangalie tu.
Watch this space.
Tanzania ni nchi imara
Mfumo bora ni upi?CDM Ni dude kubwa..Hadi Mwenyekiti yupo ndani (Ili sa100 apite bila kupingwa_ hii Ni aibu y Karne, Na historia utanikumbuka kuwa ndiye Rais pekee baada YA mfumo Wa vyama vingi ambaye aliteuliwa Na tume na kupita bila kupingwa
Kama CCM Ni wanaume twendeni Kati kwenye mfumo Ulio bora
Nyakati huwa zina kawaida ya kuja na kupita na sasa zile nyakati zenu ni kama zilipita na hawaamini kama leo hii hawana uwezo wa kukusanya watu na kuandamana na wamebakia kuwa watu wa kuimba ma slogan tu mara No Reform No Election , sijui One Love blah blah nini. Yaani ili mradi tu kila siku wawe wamechanganyikiwa yaaani.Chadema walishasema hawatashiriki uchaguzi kuendelea kuwaongelea ni kupoteza mda Chauma vipi?