johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
๐๐ ๐๐Umepiga kwenye mshono
Huu ni udhalilishaji!
CCM tumeondokana na mitumba. tunawaachia mwanjo-mwanjo.Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno๐
Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.
Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.
Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion ๐๐
Nawatakia Siku njema!
Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno๐
Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.
Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.
Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion ๐๐
Nawatakia Siku njema!
Samahani kwa kusema..una akili mgando๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃjohnthebaddest Umeteleza kidogo!
Wananchi wanataka hoja na sera za kimaendeleo, wanataka kudikia muarobaini wa Ufisadi,Ubadhirifu,Uzandiki na Maovu kedekede yanayofanywa na serikali hii.
Na sio mavazi au sura za wanasiasa! Kwa sababu hayo hayawasaidii chochote watanzania kwa sasa.Utanashati tuwaachie hao wawakilishi wa "Vitu Maalumu".
Tunahitaji hekima za viongozi na sio tabasamu zao, iwe CCM au CHADEMA au kokote kule! Sura au Mavazi sio kigezo cha uanasiasa mahiri. Bali hizo zinaweza kibakia kama mbwembwe za majukwaani tu.
Siasa sio FIESTA! Siasa sio kupiga makelele jukwaani, Bali kutoa hotuba zenye maono pamoja na ufumbuzi kwa matatizo yaliyoko kwenye jamii husika.
Kinachotakiwa sio Utanashati bali ni "Nguvu za hoja" Busara na Hekima zikiongoza mijadala.
Sasa hivi tunachokiona ni vijembe majukwaani kuanzia CCM- Samia ...CHADEMA-Mbowe & Lissu.....ACT- Zitto na wale wengine wavizia teuzi na vyama vyao kwenye Briefcases.
Ndio maana ya UCHAWA lazima uonekane ni mchafu kweli mbele ya mkoloni Samia. Chawa wa mama ni watumwa na watwana kamili. Vinginevyo hakuna posho. Ukoloni mambo leo, juu juu juu zaidi.,!Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno๐
Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.
Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.
Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion ๐๐
Nawatakia Siku njema!
CCM wanaletwa na malori, vumbi ni lao na kila kituUkikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno๐
Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.
Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.
Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion ๐๐
Nawatakia Siku njema!
Tena ndiyo tunazidi kuwa masikini haswaSamahani kwa kusema..una akili mgando๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Jamaa anaongelea mavazi wewe sera.
Tangu lini ccm ina sera isiyomkomboa Mtanzania?
Huoni aibu kutetea chama kimeongoza miaka 62 lkn watu bado masikini wa kutupwa na ujings tele?
Nyie ni chama chakavu tuCCM tumeondokana na mitumba. tunawaachia mwanjo-mwanjo.
Kama wanaenda mnada wa kule Dongobesh