johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hahahaaa...... Hizo fomu anatoa nani?!Mkuu umeandika kana kwamba ni hisani au huruma ya CCM kupata form.. Asee!!
Hili ni jambo la lazima Kikatiba
Wewe umejiandikisha manka?!Si mtashinda kwa kishindo na madaktari ya mpiga kura yamejaa majina ya marehemu . Wasiwasi ni wa nini?
Manka? Yaani mtu yoyote ambaye yupo tofauti na Serikali ni mchaga?Wewe umejiandikisha manka?!
Kuna bomu baya la chuki na visasi linapikwa na kuchochewa na wenye dhamana,walioapa kuilinda na kuitetea Katiba.Kwa sababu ndogo sana sifa na kiburi cha hovyo.
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Hamna mtu anayejitambua atashiriki huo utoto, hivyo ushindi wa ccm sio kwakuwa wanakubalika, bali wameachiwa goli wazi baada ya kujua hawawezi ushindani wa njia ya kura. Ccm kushinda sio tatizo, kwani hawategemei kura kushinda, shida ni idadi ya wapiga kura kudhibitisha kukubalika kwao.
Kwa hiyo wangejiandikisha ungeunga mkono kutopewa formu, si ndiyo. Sasa kama huu si uadui ni nini. Ingawapo wewe na yule jamaa yako hupendelea kusema kuwa "Maendeleo hayana vyama" ni wazi kuwa msemo huu mnautumia kinafiki mkimaanisha kinyume chake kabisa. Mfano hai: Nyang'anya Lissu ubunge, peleka huko miradi ya maji ili CCM ionekane inaleta maendeleo.Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Buza ipi?........acheni longolongo!Tutaelewana tuView attachment 1249657
Wewe usiye na akili unadhani hawajiandikishaCcm inajua jinsi wapinzani walivyojiandikisha ndio maana inawazuia wagombea wa upinzaniKwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Unajitahidi sanaKwanini kujitesa bwashee!
Kwanini alipotajwa manka Umeshikwa na hasira namna hii? Vipi kama wamejulishana huko pm kwamba yeye ni manka?Manka? Yaani mtu yoyote ambaye yupo tofauti na Serikali ni mchaga?
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi hiki
Mkuu kwa hiyo Halima Mdee, Lema, Msigwa, Mbowe Zito na viongozi wote wa upinzani hawajitambui?Hamna mtu anayejitambua atashiriki huo utoto, hivyo ushindi wa ccm sio kwakuwa wanakubalika, bali wameachiwa goli wazi baada ya kujua hawawezi ushindani wa njia ya kura. Ccm kushinda sio tatizo, kwani hawategemei kura kushinda, shida ni idadi ya wapiga kura kudhibitisha kukubalika kwao.
Hao milioni 20 mnaoropoka mmewaandikisha mmewatoa wapi?Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu kwa hiyo Halima Mdee, Lema, Msigwa, Mbowe Zito na viongozi wote wa upinzani hawajitambui?
Ni kwa mujibu wa kumbukumbu zilizopo....usiogope!Hao milioni 20 mnaoropoka mmewaandikisha mmewatoa wapi?