Amri kuu ni Upendo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 789
- 495
hapo hujacheka bali umejichekelesha ilhali uso umekusawajika kwa unavyonuka ukabila! Aibu sana kudhania kabila fulani tanzania sio raia wa nchi hii!! Aibu sana hata kwa kizazi chako.Hahahaaa......umeshapanic bwashee!
Bwashee wewe ndio unahubiri ukabila kwa mateso makubwa....hahahaaa!hapo hujacheka bali umejichekelesha ilhali uso umekusawajika kwa unavyonuka ukabila! Aibu sana kudhania kabila fulani tanzania sio raia wa nchi hii!! Aibu sana hata kwa kizazi chako.
We nae mpumbavu tu, na we tayari umesha assume mi mchaga?Kwanini alipotajwa manka Umeshikwa na hasira namna hii? Vipi kama wamejulishana huko pm kwamba yeye ni manka?
Kwanini wachaga mnawaza sana ukabila?
Usisahau kuna kampeni kabla ya uchaguzi, wale waliojiandikisha tu, ukiwaabia kanunua ndege, badala ya msosi, watabadili uamuziKwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Maccm majinga ndo maana yanapoteza ushawishi kwa ukabilaManka? Yaani mtu yoyote ambaye yupo tofauti na Serikali ni mchaga?
Wajiamin watoe fomuKwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Punguza au acha Gongo...uwezo wako wa kufikiri au kuwaza masuala unatia Shaka...rudia kusoma ulichoandika na ufikiri tena...tena fikiri sawa sawa...utagundua unatatizo ktk kufikiri...then itakusaidia sana.Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
MZEE BABA KAMA KWELI HAWAJIANDIKISHA NA MNAKUBALIKA MMENUNUA NDEGE NA KUPUNGUZA WANUFAIKA WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU MBONA MNATOA FOMU ZENYE GHIRIBA KWA CHAMA MNACHOKIITA SACCOSKwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Imeagizwa bro, hawawezi pita hao, tusububili mapenzi ya Mungu tuKwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Unajuaje na wewe haupo TZ?Si mtashinda kwa kishindo na madaftari ya mpiga kura yamejaa majina ya marehemu . Wasiwasi ni wa nini?
Wewe mwenyewe una kiherehere kama barmaid.Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa chama chako cha CCM wanaogopa mpaka maiti ilimladi iwe na nembo ya CHADEMA.Kwa mfano Mtaani kwetu wale makamanda viherehere tunaowafahamu karibia wote hawajajiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa sasa CHADEMA inashindaje hapo?
Wapeni fomu tu ili wakose visingizio, iwe Msoga ama Kihesa au Tandahimba wapeni fomu wapinzani sisi CCM tunawasubiri kunako 24/11/2019 tumalizane nao.
Siasa si uadui
Maendeleo hayana vyama!
sina uhakika na hilo kabisa,,Sehemu nyingi nilizotembelea ukweli upinzani haukubaliki tofauti na ilivokuwa 2014
Kuna bomu baya la chuki na visasi linapikwa na kuchochewa na wenye dhamana,walioapa kuilinda na kuitetea Katiba.Kwa sababu ndogo sana sifa na kiburi cha hovyo.