Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mitandao ya kijamii hasa instagram kuna majibizano makubwa yanaendelea. Kadri siku zinavyokwenda wafuasi wa CCM aidha kwa kufahamu magile yao ni machafu au kwa nidhamu ya woga wamekuwa siyo silaha nzuri katika kukemea uovu.
Viongozi na celebrities wengi wanaoendekeza uchawa wamekosa confidence ya kukemea matusi kupitia akaunti zao. Viongozi wa kisiasa nao wamefyata hakuna anayethubutu kukemea chochote kwenye akaunti zao binafsi.
Kwa mwendo huu tatizo hili la kukosa kujiamini linatokana na nini? Mbona zamani wafuasi hawa waliweza kujibu mashambulizi na hoja? Au wengi siyo wasafi wanaogopa uchafu wao kuanikwa adharani?
Jambo baya zaidi wao ni followers wa wanaotukana; je wanafurahia haya matusi? Kwanini wasiwablock wanaotukana kama wameshindwa kuwakemea?