Wafuasi wa chama cha Mapinduzi hasa vijana kwanini wanashindwa kukemea matusi mitandaoni? Au wapo mstari wa mbele gizani?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Mitandao ya kijamii hasa instagram kuna majibizano makubwa yanaendelea. Kadri siku zinavyokwenda wafuasi wa CCM aidha kwa kufahamu magile yao ni machafu au kwa nidhamu ya woga wamekuwa siyo silaha nzuri katika kukemea uovu.

Viongozi na celebrities wengi wanaoendekeza uchawa wamekosa confidence ya kukemea matusi kupitia akaunti zao. Viongozi wa kisiasa nao wamefyata hakuna anayethubutu kukemea chochote kwenye akaunti zao binafsi.

Kwa mwendo huu tatizo hili la kukosa kujiamini linatokana na nini? Mbona zamani wafuasi hawa waliweza kujibu mashambulizi na hoja? Au wengi siyo wasafi wanaogopa uchafu wao kuanikwa adharani?

Jambo baya zaidi wao ni followers wa wanaotukana; je wanafurahia haya matusi? Kwanini wasiwablock wanaotukana kama wameshindwa kuwakemea?
 
Nimeshangaa saa kuona Mwamvita akiwa karibu na Sister Mange. Huko nyuma walikuwa maadui wakubwa
 
Law of the Universe
What goes around comes around !
Ngoja Tusubiri tuone !
Mambo yanaenda harijojo Chamani πŸ™πŸ™ β€œ KARMA β€œ πŸ™
 
Hivi nani ni msafi humo ndani ya CCM?

Doctrine of Equity:
"He who goes for equity must go with clean hands."
 
Hao ni vijana wa ovyo usiku wanageuka panyaroad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…