Wafuasi wa deo kisandu na Nabii Tito tukukate hapa kwa huzuni

Taarifa zinasema Deo kisandu anafanyiwa figisu na mahasimu wake kisiasa ili asiweze kigombea urais mwaka 2020 baada ya kuonekana anadalili zote kushinda uchaguzi huo pia inasemekana kuna mheshimiwa hajafurahishwa na kitendo cha deo kuopoa mtoto mzuri wa miss universe
 
Hebu iongezee nyama hii kitu
 
Hahahahajaj wewe utakuwa una undugu na deo aka masqo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[HASHTAG]#BringbackOurDeoKisandu[/HASHTAG][emoji23]
 
Hahahahajaj wewe utakuwa una undugu na deo aka masqo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[HASHTAG]#BringbackOurDeoKisandu[/HASHTAG][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bringback our deo
 
TUNAKUMIS SANA DEO, HAJATOKEA KAMWE HADI LEO MTU WA KUTUPA FARAJA NA TABASAM BASHASHA KAMA WEWE MTEMI DEO, TUNAENDELEA KUKUOMBEA UREJEE MAPEMA MTAANI ILI MALENGO YAKO YA KUWA RAIS 2020 YATIMIE.
#BRING#BACK#DEO
 
hivi humu hakuna hata mwanafunzi wake mmoja aliyemfundisha hapo mkolani? huyu jamaa ni mwalimu, mwanaharakati kama kaboka mchizi, cpati picha hao wanafunzi wake wakoje.
 
Sikia, mkuu ukiwa unaenda kuvuta bangi twende wote
 
washagundua kuwa Masqo ndio raisi 2020 ndo maana wanamfanyia figisu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…