Wafuasi wa Halima Mdee na wenzake kwanini mmewatelekeza wenzenu? Mliwadanganya wanawafuasi kama mlivyomdanganya Dkt. Slaa

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani.

Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani.

Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa waliokuwa wanafukuzwa Bungeni?

Nikajiuliza huu urafiki na CCM umetoka Wapi? Nikatembelea mitandaoni kote wanatukanwa hakuna mtete wao; what happened to your funs?

Nikajikumbusha Halima alimtaja Mbowe kwamba anafahamu Kila kitu, nikajiuliza huyu Mbowe anayeweza kuwakataza Watanzania wasishirikiane na Wabunge 19 hata Kwa kupitia mitandaoni ana nguvu kiasi Gani?

Mwisho nikamkumbuka Dr. Slaa, nguvu imeisha ameongea Sasa kanyamaza hakuna anayemsikiliza anasubiri jukwaa la mama 2025 ndipo atembelee nyota

Vijana tujifunze kuvumilia njaa ukame ukiingia. People's ni shida, ni Imani, ni haki siyo mtu.
 
Nikikumbuka ya Dr Slaa. Kweli alikitumikia chama kwa nguvu zote lakini alipohama alihama yeye na Mke wake tu.🤣🤣🤣
 
Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani.

Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani.

Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa waliokuwa wanafukuzwa Bungeni?

Nikajiuliza huu urafiki na CCM umetoka Wapi? Nikatembelea mitandaoni kote wanatukanwa hakuna mtete wao; what happened to your funs?

Nikajikumbusha Halima alimtaja Mbowe kwamba anafahamu Kila kitu, nikajiuliza huyu Mbowe anayeweza kuwakataza Watanzania wasishirikiane na Wabunge 19 hata Kwa kupitia mitandaoni ana nguvu kiasi Gani?

Mwisho nikamkumbuka Dr. Slaa, nguvu imeisha ameongea Sasa kanyamaza hakuna anayemsikiliza anasubiri jukwaa la mama 2025 ndipo atembelee nyota

Vijana tujifunze kuvumilia njaa ukame ukiingia. People's ni shida, ni Imani, ni haki siyo mtu.
Chama cha Demokrasia ni chama makini sana ambacho kimedumu na kuhimili mikiki mikubwa na midogo si kwa sababu nyingine bali Uadilifu na ingergrity kwenye mfumo wake. Mfumo hauruhusu mgawanyiko.

Yaani chama kiko well formed. Ukiondoka wewe unaondoka peke yako.

Watanzania wametokea kukiamini. Hayati JPM alitaka kuonesha ni chama kibaya. Matokeo yake kimeaminika zaidi.

Hata akihama Lissu ataenda yeye. Kitakachosambaratisha Hiki chama sio wizi kwenye chaguzi bali kitakapoachana na falsafa ya uhuru, umoja, haki na maendeleo. Baaaass!!
 
Back
Top Bottom