johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
2015 baada ya CCM kumpata mgombea uRais shujaa Magufuli Wafuasi wa Lowassa aliyekatwa mapema hawakuendeleza tena malumbano walitulia Ili Chama kipate Ushindi
Ndio Leo umeona Alhaj Kimbisa anatoa Azimio na baadae Mpendwa Wetu Mh Rais Samia anamchagua Dr Nchimbi kuwa mgombea mwenza
Nimeona hapo Chadema akina Mrema, Munisi, Kilewo, Yeriko, Mashayo na Ntobi bado wamenuna ilhali uchaguzi ulikuwa huru na HAKI
Nawasihi akina Munisi wapate Darasa la Uvumilivu Kwa akina Peter Selukamba na Hussein Bashe Watoto wa Laigwanan Lowassa ambao hawajawahi kumvunjia Heshima Shujaa Magufuli katika siasa za CCM
Ahsanteni sana