Wafuasi wa Tanu kama mpo -- TANU inahitajika kuliko wakati wowote ule

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
naamini wafuasi wa TANU wapo na wanakiunga mkono chama chao,huu ni wakati muafaka kuanzisha au tuseme kukifufua chama chetu kilichopigania na kutupigani Uhuru hadi tukakomboka.

Sisi sote tumegomboka vyama vilivyopo sasa vimeitupa historia yetu ya nchi hii na sasa inaonekana wazi Tanzania inakwenda mrama mrama.
Ila nini kifanywe ili chama chetu kirudiwe na uhai wake.

CCM itabaki kuwa CCM na TANU itabaki kuwa TANU na wacha iitwe TANU.
 
Ukifufua TANU inabidi na ASP ifufuliwe
 
Unataka TANU ipiganie UKOMBOZI upya kutoka kwa makucha ya ccm, au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…