[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nasubiri jibuMimi nawatakia wana Yanga wote sikukuu njema ya Mapinduzi. Ila naomba kuuliza eti ni kweli kuwa URA kwa kiuganda ina maanisha Mbao?
Twende Zanzibar tuone sherehe hasa gwaride!
😛😀Daaah! Huu mwaliko ungenipa mapema kesho asubuhi tungekwenda kuliangalia 'ligwaride'
Na wewe pia Mkuu[emoji120] [emoji120]Shunie , Tantaw, Mulhat Mpunga, kaka Jiwedogo, myoyambendi Joseverest Ngushi Mwifwa Miss Natafuta,
Castr Mgibeon bila kumsahau wikili msomi Petro E. Mselewa
Muwe na sikukuu njema
Twende tukale/tukanywe urojoNa wewe pia Mkuu[emoji120] [emoji120]
Nipo hapa najiandaa kuelekea kwenye mashambulizi hayoTwende tukale/tukanywe urojo
Hapana hawaitwi hivyoMimi nawatakia wana Yanga wote sikukuu njema ya Mapinduzi. Ila naomba kuuliza eti ni kweli kuwa URA kwa kiuganda ina maanisha Mbao?
Umesahau dirisha hukufunga vizurishost ngoja nikunong'oneze hapa hapa kwa kuwa umefunga chumbani, NI mimi folowa wa Tantaw, hoping umeshanipata, hahahahaha
Umemsahau W. J. Malecela Mzee wa MkuyatiShunie , Tantaw, Mulhat Mpunga, kaka Jiwedogo, myoyambendi Joseverest Ngushi Mwifwa Miss Natafuta,
Castr Mgibeon bila kumsahau wikili msomi Petro E. Mselewa
Muwe na sikukuu njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie ujue nimeshangaa hii i'd mpya huyu anayenijua naniii alikua anatumia id gani kwahiyo ile imekula ban ya mda mrefu ninishost ngoja nikunong'oneze hapa hapa kwa kuwa umefunga chumbani, NI mimi folowa wa Tantaw, hoping umeshanipata, hahahahaha
hahahahahah. Bujibuji naogopa mie kucheka maana "hako kanukta" ni uumbaji wa MUngu hahahahahahUmemsahau W. J. Malecela Mzee wa Mkuyati
Pole sana mamy mbona nilikusoma sehemu huh mwaka hutaki kabisa ban hata uchokozwendio. ikabidi niangalie plan G kama sio B
Pole mnooohapo hapo ndio nilipojeruhiwa
Ila kwenye graduation ya mtoto wako nitakuja hahahahahahahahaNashukuru jina langu halipo!