Roho inakufa pia?kurudi mavumbini kulala usingizi baada ya pumzi ya roho kuuacha mwili mtu anayarudia mavumbi anakuwa mavumbi anazikwa haendi popote analala kaburini kusubiri siku ya hukumu, ambapo kila mmoja alielala ataamka wengine kwa uamsho wa kuhukumiwa wengine kwa uamsho wa kukombolewa.
inamrudia alieitoaPumzi ya uhai kwa hiyo inakufa pia Roho ijitengapo na mwili?
Mbingu ni ya WALOKOLE, watakatifu,wana wa Mungu,Walokole hawa wa lalalaaa shika raba????
Inamrudia ikiwa haijitambui?inamrudia alieitoa
Nmekuuliza walokole wa shika raba?Mbingu ni ya WALOKOLE, watakatifu,wana wa Mungu,
Sasa ikiwa unapenda kwenda mbinguni, tamani kuwa Mlokole,
Tofauti na hapo, moto unakusubiri.
Unauza mitumba? Shika raba ndo nn?Nmekuuliza walokole wa shika raba?
haha kwamba unataka kusema inarudi ikiwa inajitambua hebu nipe hilo funguInamrudia ikiwa haijitambui?
Troookaaaa hukoImeandikwa,
Asiyefanya kazi na asile. Ni neno la Mungu.
(Yuda 1:14-15)haha kwamba unataka kusema inarudi ikiwa inajitambua hebu nipe hilo fungu
Ushapotea ndugu(Yuda 1:14-15)
14: Na Henoko, mtu wa Saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,
15: Ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaashibisha wote wasiomcha Mungu.....
... mwisho wa kunukuu...
Hizo ndizo Roho unazosema zinamrudia Muumba,
Ikiwa huelewi maandiko fahammu kuwa, ukishazaliwa hapa duniani, njia ni mbili tu baada ya mwili kutengana na mtu halisi ambaye ni Roho,
1. Wamchao Mungu ndizo Roho zitazomrudia Muumba, SI Roho pekee zisojitambua, ni watu halisi wa kiroho.
2. Wasiomcha Mungu,hushuka kuzimu miili yao ikibaki kaburini, mwili ndio hamujui chochote ulio kaburini, lakini wafu kule kuzimu ambao ni Roho, hawamrudii Mungu maana ni Roho ovu, huenda kusubiri hukumu.
Hao ndio wataitwa siku ya hukumu wahukumiwe kwenda jehanum wakati Yesu atakaporudi akiwa na watakatifu wake siku ya hukumu. Ni heri uulize ueleweshwe kuliko kubishana.
WEWE ndio umepotea hujui,Ushapotea ndugu
Sasa umevutwa na kitu gani kusoma na kujibizana kwenye mada ya mwehu?Kuwa mwehu sio lazima uvute bangi, urogwe au unywe pombe.
sasa uzuri sio wewe unaehukumu sote tunamsubiri kristo arejee, nakuombea uwe miongoni wa watakaokombolewa nduguyangu.WEWE ndio umepotea hujui,
Roho ndio huupa mwili jeuri na uhai, kibri nk nk,
Roho ndiye mtu,
Roho ikijitengana mwili,
Roho inaendelea kubaki na akili ,ufahamu na hisia zote maana ndiye mtu halisi,
Mwili hubaki kasha tupu lisilojua chochote, ndio maana maandiko yakasema wafu hawajui chochote(mwili),
Ndio maana hata wahindi huchoma moto miili, haisikii chochote.
Wewe ndio wale hudhani miili iliyo kaburini huhisi joto, kule hakuna haja ya ac, mwili ni kopo tupu, ndio maana unatakiwa kutawala mwili wako usikutenge na Mungu wako KUPITIA tamaa za mwili kama uzinzi, pombe nk nk.
Biblia ni coded,sasa uzuri sio wewe unaehukumu sote tunamsubiri kristo arejee, nakuombea uwe miongoni wa watakaokombolewa nduguyangu.
Leo nimetoka kuona pkpk imeandikwa nyuma " kutafuta tutafute, hakuna aijuaye kesho"Salaam, Shalom!
Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,
Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao?
JIBU: WATAKATIFU WAISHIO DUNIANI( WALOKOLE), NDIO WANADAMU PEKEE WENYE UHAKIKA,WAIJUAO KESHO YAO.
Aliyempa Yesu Kristo maisha yake, mwenye KUISHI MAISHA ya utakatifu,ndiye mwenye UHAKIKA juu ya kesho yake, ni mtu anayeishi, past, present na future kwa wakati mmoja.
Ushahidi huu hapa: (John 5:24)
Yesu asema: Amin, Amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno LANGU na kumwamini Yeye aliyenipeleka Yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
... Mwisho wa kunukuu.....
Mtu na asikudanganye, kuokoka, kuisikia injili, habari njema ya Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach,Mungu aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ni muhimu sana, fursa hiyo amenyimwa shetani na mapepo waasi, wangependa waipate Ili kurudi Mbinguni lakini waeikosa,
Fursa hiyo umepewa Mwanadamu Tena ni wakati huu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu ikiwa hujamwamini Yesu.
Na mtu aliyemwamini Yesu, jina lake likaandikwa KITABU CHA uzima, hasimami hukumuni siku Ile ya mwisho.
NOTE: MLOKOLE NI IMORTAL ( ZABURI 82:6).
Mlokole, mtakatifu, hana mwisho wa MAISHA yake, Mlokole ni Immortal, ni muungu, hana mwisho. Na uungu huo kaupata kwa kumwamini Yesu.
Ikiwa unapenda kuwa na hakika juu ya kesho yako, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE,UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LANGU YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN.
Ni kweli,Leo nimetoka kuona pkpk imeandikwa nyuma " kutafuta tutafute, hakuna aijuaye kesho"
Suddenly Leo Leo nakutana na huu ujumbe.!
Katika ulimwengu wa Roho nahisi Kuna somo linanijia.!
Umekuja kuokoka siku hizi! Manake zamani ulikuwa mtu wa spiritism! Kweli Yesu Kristo ni Bwana!!!Salaam, Shalom!
Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,
Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao?
JIBU: WATAKATIFU WAISHIO DUNIANI( WALOKOLE), NDIO WANADAMU PEKEE WENYE UHAKIKA,WAIJUAO KESHO YAO.
Aliyempa Yesu Kristo maisha yake, mwenye KUISHI MAISHA ya utakatifu,ndiye mwenye UHAKIKA juu ya kesho yake, ni mtu anayeishi, past, present na future kwa wakati mmoja.
Ushahidi huu hapa: (John 5:24)
Yesu asema: Amin, Amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno LANGU na kumwamini Yeye aliyenipeleka Yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
... Mwisho wa kunukuu.....
Mtu na asikudanganye, kuokoka, kuisikia injili, habari njema ya Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach,Mungu aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ni muhimu sana, fursa hiyo amenyimwa shetani na mapepo waasi, wangependa waipate Ili kurudi Mbinguni lakini waeikosa,
Fursa hiyo umepewa Mwanadamu Tena ni wakati huu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu ikiwa hujamwamini Yesu.
Na mtu aliyemwamini Yesu, jina lake likaandikwa KITABU CHA uzima, hasimami hukumuni siku Ile ya mwisho.
NOTE: MLOKOLE NI IMORTAL ( ZABURI 82:6).
Mlokole, mtakatifu, hana mwisho wa MAISHA yake, Mlokole ni Immortal, ni muungu, hana mwisho. Na uungu huo kaupata kwa kumwamini Yesu.
Ikiwa unapenda kuwa na hakika juu ya kesho yako, fuatisha sala hii;
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE,UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LANGU YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN.
Niko vile vile,Umekuja kuokoka siku hizi! Manake zamani ulikuwa mtu wa spiritism! Kweli Yesu Kristo ni Bwana!!!
Pumba tupu.Salaam, Shalom!