Wafuatao watateuliwa kwenye teuzi zijazo

Wafuatao watateuliwa kwenye teuzi zijazo

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Kwa upepo wa teuzi unavyoenda na mlengo wa teuzi ushajulikana, unadhani ni wanasiasa gani watateuliwa teuzi zijazo?

Mimi naanza na Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Bernard Kamilius Membe.

Endelea na wewe...
 
Vile watu wa maana wameisha ccm, kuna wAkati mama atamteua tena kabudi kuwa waziri huku akiwa mshauri wake atamteua tena na tena
 
Kwa upepo wa teuzi unavyoenda na mlengo wa teuzi ushajulikana, unadhani ni wanasiasa gani watateuliwa teuzi zijazo?

Mimi naanza na Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Bernard Kamilius Membe.

Endelea na wewe...
Nasikitika kusema kwamba utabiri wako unaweza kuwa ni sahihi kwa asilimia 99.8%
 
Back
Top Bottom