Usinisahau na Mimi 🤔.Kwa upepo wa teuzi unavyoenda na mlengo wa teuzi ushajulikana, unadhani ni wanasiasa gani watateuliwa teuzi zijazo?
Mimi naanza na Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Bernard Kamilius Membe.
Endelea na wewe...
Usiwachanganye Ili sgang wajichuje na wajisafishe wenyewe.
Nasikitika kusema kwamba utabiri wako unaweza kuwa ni sahihi kwa asilimia 99.8%Kwa upepo wa teuzi unavyoenda na mlengo wa teuzi ushajulikana, unadhani ni wanasiasa gani watateuliwa teuzi zijazo?
Mimi naanza na Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Bernard Kamilius Membe.
Endelea na wewe...