Kijana Mpole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 235
- 212
Wafugaji wengi hasa kwenye ufugaji wa kuku iwe kutaga au wa nyama changamoto kuu zipo mbili magonjwa na kuibiwa kuku wako hata kama idadi uliifahamu,
Sababu kuu ni kuwa control vijana na hata ukisema uwepo muda mwingi bado kuvishinda hivi ni vigumu.
SULUHISHO
Tunawaletea mashine ambayo itaweza kuzuia magonjwa kwa kiasi kikubwa maana. Njia moja wapo katika usambazaji au kuenea kwa magonjwa chanzo ni namna ya usafishaji na kule kuingia ingia ndani ya banda (unaweza kuingia na vimelea katika miguu n.k) suluhisho unaweza kutengenezewa hii mashine ikafanya kila kitu yenyewe. Kuanzia kuwalisha kuku wako Kusafisha banda lako
Na pia uwekaji wa maji ndani ya banda kila kitu ikafanya mashine na ukawekewa screen ya kuweza Ku monitor kila kitu ndani ya banda lako
Mashine hii ni suluhisho la kuibiwa maana kwanza urahisi wa uendeshaji wa mradi huna haja ya kuwa na watu wengi sana mtu mmoja hata mwenyewe utausimamia mradi mzima. Hii mashine tunaitengeneza hapa hapa karibu sana 0688147644 ukihitaji taarifa zaidi.
Video naona ni kubwa Ku upload nitaipunguza na kuiweka hapa karibuni sana kwa ushauri au maelezo 0688147644 SMS/WhatsApp
PIA HUU MRADI HATA KAMA UPO MBALI NAWEZA KUENDESHA KARIBU