Wafugaji wa Batamzinga

Wafugaji wa Batamzinga

malamsha shao

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
215
Reaction score
79
Heshima kwenu wakuu, ninalo dume la batamzinga limevimba nundu karibu na jicho kwa wenye uzoefu hili ni tatizo gani? Na dawa yake ni ipi? Nitashukuru kwa msaada wenu.
 
kwa uzoefu wangu huwa sio ugonjwa ni hali ambayo hutokea na mara nyingine huisha yenyewe
 
Back
Top Bottom