Mwanakijiji Wakwanza
Member
- Apr 9, 2016
- 15
- 4
Kama umegundua si ulitakiwa utueleze inavyofanya kazi ili na sie tusiogundua tujifinze? Vinginevyo badili titlehapa naomba nieleweke kuwa nimejifunza mbinu kadhaa za ufugaji hapa jamvini, sasa baada ya kuingia kwenye ufugaji nikagundua hii mbinu mpya ya kutibu ndui/fowl pox, najua kuna wataalam hapa au kama kuna mtu ashawahi kuitumia tubadilishane uzoefu na kama hakuna basi wataalam waifanyie utafiti huenda ikawa msaada kwa wafugaji siku za usoni