Kwahiyo huwa unanunulia wapi wewe?..
Bei VIC na maduka ya pembejeo hazipishani sana. Newcastle ni sh 6000, gumboro ni sh 8000 na ya ndui ni sh 16000 kwa hapa nilipo.Mkuu ivi izo chanjo bei yake ni ngapi?
Newcastle - 5000Bei VIC na maduka ya pembejeo hazipishani sana. Newcastle ni sh 6000, gumboro ni sh 8000 na ya ndui ni sh 16000 kwa hapa nilipo.