Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

aisee watu wana mawe, tibetan mastiff si $50,000....

labda sio pedigree nzuri
 
aisee watu wana mawe, tibetan mastiff si $50,000....

labda sio pedigree nzuri
Hapo kwenye pedigree ndo sina uhakika mkuu.
Watu wana mawe sana asee, kuna breeders bongo wako njema sana na wanaruhusu kutembea uone na ukitaka pedigree papers unaonyeshwa.. !!

Sisi wengine machizi mbwa tumetembelea mabreeders mpaka Mwanza huko asee.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Duh! Wanavuta bangi,na hakika wanalewa. Sasa, ni walinzi,viburudisho au?
 
Wewe una breeds wangapi?
 
Umeshawahi kukutana na hii mbwa inaitwa XL Bully...
Achana kabisa unaweza kujikojolea..
Hii serikali ya UK, imepiga marufuku....
Hii Mbwa imetengenezwa, sio ya asili, ni SHETANI....


 
Kuna jamaa anaitwa Rasta, jamaa ana mbwa wazuri sana
 
Uongoo
Mwal wa mathe hii ni uongoo

Nakuletea ka mbwa koko kamoja ukatrain basi kawe ka kishua shua.
Ipo siku utanikubali, huyo koko ni sifa tu mchukue mwenyewe mbadiilishie maisha utaona tu..
 
subscribed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…