Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Nilijaribugi kuagiza pap wa turkish kangel kwa jamaa angu mmoja ivi Mmisri aisee aliniambia mpaka anafika bongo ni dolla 5000 nikaona upuuzi nikaachana nae japo nawapenda sana...
Uliweza kupata Kangal Dogs??
 
Kwema sana mkuu
Huu uzi ulikuwa na unyamaa mwingi sanaa. I lost my dogs, Mwenye Puppy anipe basi wazee, napenda mbwa wenye kutisha, nilikuwa nna GS long coat na Boerbel. I Just love Big dogs.
 
Nimesoma uzi wote, Kongole Bro. Una shule pana sanaa ya Mbwa, breed gani Bora kwako ya wkt wote??
 
Nimesoma uzi wote, Kongole Bro. Una shule pana sanaa ya Mbwa, breed gani Bora kwako ya wkt wote??
Asante bro japo najifunza.
1. Napenda sana Gs/German shephard
2. Mbwa mzuri na bora kwa ulinzi ni BM/ belgium shephard (malinois)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…