Vipi kuhusu bei na matumizi yake i.e lita tano ni shillingi ngapi na utatumia kwa muda gani kwa bwawa hilo la 20 x 40??
Kwa bwawa la mita 20 by 40 kama utaweka samaki 10,000 wakati kitaalamu ni samaki 16,000 haina madhara hasa kutokana na kunyang'anyana kwa oxygen??
Vipi kuhusu kuongeza vyakula vya supplementary maana kwa kuweka mbolea kama ya kuku hao plankton ndo wanatengenezwa, na hii dawa inafacilitate hawa plankton kukua, sasa ukishatumia hii dawa yenu hakuna haja ya kuongeza tena mbolea bwawani??
Kwa vifaranga wa monosex ie madume pekeyake ambavyo hufugwa mabwawani baada ya kuwapa chemical maalumu, dawa yenu haina madhara??