PAYE JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 459 Reaction score 644 Jul 6, 2026 #1 Mpaka sasa katika Kombe la Dunia 2026, mbio za Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) zinaongozwa na wachezaji hawa: Kylian Mbappé (Ufaransa) – mabao 7. Lionel Messi (Argentina) – mabao 7. Erling Haaland (Norway) – mabao 7. Harry Kane (England) – mabao 6. Wakiwa na mabao 4kila mmoja: Jude Bellingham Mikel Oyarzabal Ousmane Dembélé Vinícius Júnior Ismaila Sarr Julian Quinones Nani kuibuka mfungaji bora?
Mpaka sasa katika Kombe la Dunia 2026, mbio za Kiatu cha Dhahabu (Golden Boot) zinaongozwa na wachezaji hawa: Kylian Mbappé (Ufaransa) – mabao 7. Lionel Messi (Argentina) – mabao 7. Erling Haaland (Norway) – mabao 7. Harry Kane (England) – mabao 6. Wakiwa na mabao 4kila mmoja: Jude Bellingham Mikel Oyarzabal Ousmane Dembélé Vinícius Júnior Ismaila Sarr Julian Quinones Nani kuibuka mfungaji bora?
Clever505 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2020 Posts 2,282 Reaction score 3,351 Jul 6, 2026 #2 Ronaldo number 7
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Jul 6, 2026 #3 Kama England ikibakia Kane anaweza pata ufungaji bora